
Create Account ✨
D-Tech Service Portal - it's free and takes a minute.
Visit our website - news & services
D-Tech Service Portal - it's free and takes a minute.
Visit our website - news & servicesKaribu DTECH (DTECH INNOVATIONS)!
Unapotumia mfumo wetu kupata huduma za maombi ya vyuo, mikopo (HESLB), RITA, au huduma nyingine za kidijitali, unakubaliana na masharti yafuatayo:
Mtumiaji anapaswa kutoa taarifa sahihi na za ukweli wakati wa kujaza fomu au kuomba huduma kupitia portal yetu. DTECH haitawajibika kwa makosa yatakayotokana na taarifa zisizo sahihi zilizowasilishwa na mteja binafsi.
DTECH inalinda faragha ya data zako zote (kama vyeti, namba za siri, na taarifa binafsi). Data zako zitatumika tu kwa madhumuni yaliyokusudiwa ya ukamilishaji wa huduma uliyoomba na hazitashirikishwa kwa mtu baki bila idhini yako ya maandishi.
Malipo yote ya huduma yanapaswa kufanyika kupitia njia rasmi zilizowekwa kwenye mfumo wetu. Pindi huduma inapoanza kufanyiwa kazi, gharama za huduma hiyo hazitarejeshwa isipokuwa kama kuna hitilafu ya kimfumo ya upande wetu.
DTECH ina haki ya kubadilisha masharti haya wakati wowote kulingana na mabadiliko ya kiteknolojia au miongozo ya mifumo ya serikali (HESLB, RITA, NACTVET n.k). Mtumiaji atapewa taarifa kupitia mfumo wetu.
Welcome to DTECH (DTECH INNOVATIONS)!
By using our system to access college applications, loans (HESLB), RITA, or other digital services, you agree to the following terms and conditions:
Users must provide accurate and truthful information when filling out forms or requesting services through our portal. DTECH will not be held liable for errors resulting from incorrect information submitted by the client.
DTECH protects the privacy of all your data (such as certificates, passwords, and personal information). Your data will only be used for the intended purpose of completing the requested service and will not be shared with third parties without your written consent.
All service payments must be made through the official channels integrated into our system. Once service processing has commenced, service fees are non-refundable unless there is a system malfunction on our part.
DTECH reserves the right to change these terms at any time based on technological advancements or updates from government systems (HESLB, RITA, NACTVET, etc.). Users will be notified through our platform.